Waziri Murkomen asema wanasiasa ndio wafadhili wakuu wa magenge ya vijana

  • | Citizen TV
    1,365 views

    Waziri wa usalama Kipchumba Murkomen sasa anasema wanasiasa ndio wanaofadhili magenge ya wahalifu yanayoendelea kuhangaisha kaunti kadhaa za Pwani. Waziri Murkomen akiwaonya wanasiasa wanaohusika kuwa chuma chao ki motoni. Francis Mtalaki anaarifu huku serikali pia ikipinga madai ya aliyekuwa naibu rais RIgathi Gachagua kuwa ilifadhili vurugu zilizoshuhudiwa katika kanisa alikokuwa eneo la Kasarani hapo jana