Waziri Murkomen athibitisha shambulizi lilitokea katika eneo la Todonyang

  • | KBC Video
    118 views

    Waziri wa usalama wa taifa, Kipchumba Murkomen, amethibitisha mashambulizi makali yaliyofanyika jana katika eneo la Todonyang',kaunti ya Turkana,mpakani mwa Kenya-Ethiopia. Maelezo kuhusu idadi kamili ya waathiriwa kutokana na mapigano kati wavuvi wa Turkana na Dasanarch katika eneo la Lopemukat hayajathibitishwa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive