Waziri Murkomen, Kanja na Amin wakosa kufika mahakamani kuhusu visa vya utekaji nyara

  • | NTV Video
    12,479 views

    Kwa mara nyingine waziri wa usalama wa taifa Kipchumba Murkomen, mkuu wa polisi Douglas Kanja, mkuu wa upelelezi wa jinai nchini Mohamed Amin wamekosa kufika mahakamani kujibu masuala kuhusiana na visa vya utekaji nyara.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya