Waziri wa afya amefurushwa na gavana kwa utepetevu.

  • | Citizen TV
    306 views

    Gavana wa Kaunti ya Taita Taveta, Andrew Mwadime, amemfuta kazi Waziri wa Afya, Gifton Mukaya, kufuatia malalamiko ya wananchi kuhusu kudorora kwa sekta ya afya katika kaunti hiyo