Waziri wa afya Deborah Mulongo afika mbele ya kamati ya bunge kuhusu afya

  • | K24 Video
    12 views

    Waziri wa afya Deborah Mulongo hii leo alifika mbele ya kamati ya bunge kuhusu afya kuelezea utekelezwaji na mipango ya kuzinduliwa kwa bima ya SHIF, inayotarajkiwa kuanza rasmi hapo kesho. Mulongo ambaye alijipata kikaangoni kuelezea mchango wa wasio na ajira, aslisitiza kuwa mpango huo wa afya upo tayari kuzinduliwa rasmi hapo kesho.