Waziri wa ardhi na ujenzi Mombasa akamatwa na polisi kwa kupanga njama ya kumlawiti mwanablogu mmoja

  • | Citizen TV
    1,878 views

    Waziri wa ardhi na ujenzi kaunti ya Mombasa Mohammed Hussein amekamatwa na maafisa wa polisi kwa tuhuma za kupanga njama ya kumlawiti mwanablogu mmoja jijini humo. Waziri huyo anatazamiwa kufikishwa katika mahakama ya shanzu hii leo. Haya yanajiri huku gavana wa Mombasa Abdulswamad Sharrif Nassir alikatiza kimya chake kuhusu madai hayo