Waziri wa elimu Julius Migos Ogamba amewaonya watakaojaribu kuiba mitihani wa kitaifa

  • | Citizen TV
    176 views

    Waziri wa elimu Julius Migos Ogamba amewaonya watakaojaribu kuiba mitihani ya kitaifa ya KCSE kuwa watachukuliwa hatua kali.