Waziri wa michezo Murkomen asema ujenzi wa uwanja wa Karatu utakamilika mwishoni Oktoba

  • | NTV Video
    270 views

    Waziri wa michezo Kipchumba Murkomen amesema kwamba ujenzi wa uwanja wa Karatu ulioko kaunti ya kiambu utakamilika kufikia mwishoni mwa mwezi huu wa Oktoba. Mwanaspoti Yoshua Makori alizuru uwanja huo na kuandaa taarifa ifuatayo.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya