Waziri wa utalii awaonya wawindaji haramu ambao wamekuwa tishio Kwa usalama wa wanyama pori

  • | Citizen TV
    183 views

    Waziri wa utalii nchini Rebecca Miano amewaonya wawindaji haramu ambao wamekuwa tishio Kwa usalama wa wanyama pori. Akizungumza katika maadhimisho ya siku ya vifaru ulimwenguni, maadhimisho yaliyoandaliwa katika hifadhi ya kijamii ya wanyama pori ya Sera eneo la Sereolipi Samburu Mashariki, waziri Miano amesema pana haja ya Wakenya kujitolea katika kuwalinda wanyama pori na kujiepusha na visa vyovyote vya kuhatarisha Maisha ya wanyama pori