Waziri Wahome asisitiza ushuru wa nyumba hautaondolewa

  • | KBC Video
    404 views

    Waziri wa Ardhi Alice Wahome amepuuzilia mbali matakwa mapya ya kizazi cha Z ya kutaka serikali iondoe ushuru wa ujenzi wa nyumba za gharama nafuu na kuchapishwa kwa ripoti ya ukaguzi wa jinsi pesa hizo zilivyotumika. Wahome ameonya dhidi ya kile alichokitaja kuwa nia mbaya ya maandamano humu nchini ya kutatiza mipango muhimu ya maendeleo ikiwa ni pamoja na mradi wa nyumba za gharama nafuu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive