Waziri wateule Kagwe Muigai, William Kabogo na Lee Kinyanjui wajitetea

  • | Citizen TV
    1,145 views

    Mawaziri wateule Mutahi Kagwe na William Kabogo wamekabiliwa na tuhuma dhidi yao walipokuwa wakihojiwa na kamati ya uteuzi ya bunge la kitaifa, ambapo Kagwe ametakiwa kujibu masuali kuhusu sakata ya Covid-19 na kemadarati