Wenye biashara ndogo wataka serikali kuwatafutia masoko

  • | KBC Video
    31 views

    Vijana wametakiwa kuchukua fursa zilizopo mtandaoni kukuza ujuzi wao kwa minajili ya kuboresha hali yao ya kiuchumi. Afisa mkuu mtendaji wa maduka ya vitabu ya Text Book Centre Sachin Varma amesema vijana hawana budi kubidhaifisha ujuzi wao kwa kutumia mifumo iliyopo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive