Wenye magari na pikipiki bila nambari za usajili waonywa Garissa

  • | Citizen TV
    180 views

    Madereva katika kaunti ya Garissa wanaomiliki magari na pikipiki ambayo hayana nambari za usajili rasmi wametakiwa kuyalimisha katika kituo kikuu cha trafiki mjini humo ama hatua kali ya kisheria kuchukuliwa