Wenyeji wavuna matunda Ushindi wa AFCON 2023

  • | BBC Swahili
    480 views
    Uwekezaji wa zaidi ya dola 1bn (£0.79bn) uliotumika kuandaa michuano ya Afcon 2023 na nchi ya Ivory Coast katika kuboresha miundombinu nchini humo, na Rais wa nchi hiyo Alassane Ouattara huenda umezaa matunda baada ya Tembo wa Ivory Coast kulibakiza kombe nyumbani. Tembo hao wanachukua dola 7m (£5.54m) kama pesa za zawadi, huku Nigeria wakikabidhiwa dola 4m na Shirikisho la Soka Afrika. Kubwa limekuwa ni furaha kwa wananchi ambao wamejitokeza barabarani kuupokea ushindi huo walioupata na kukamilisha idadi ya makombe matatu waliyoyapata katika michuano hii ya Afcon ambapo la kwanza lilipatikana mwaka 1992, 2015 na sasa 2023 Hawa ni mashabiki walioonesha hisia zao baada ya Ivory Coast 🇨🇮 kutangazwa mshindi wa Afcon 2023. 🎥: @frankmavura Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw