Wezi wa mifugo wavamia vijiji vya Kek Sapuki na Porroo huku mtu mmoja akifariki akipokea matibabu Sa

  • | Citizen TV
    370 views

    Mtu mmoja amefariki akipokea matibabu katika hospitali ya rufaa ya Samburu. Mtu huyo ni miongoni mwa waliojeruhiwa katika uvamizi wa hivi punde uliotekelezwa na wezi wa mifugo katika vijiji vya Kek Sapuki na Porroo. Watu wanne wanaendelea kupokea matibabu katika hospitali ya rufaa ya Samburu.