WHO yaadhimisha miaka 77 ya utendakazi ulimwenguni

  • | Citizen TV
    132 views

    Shirika la Afya Duniani WHO liliandaa hafla ya kusherehekea miaka 77 ya kutoa huduma za afya humu nchini, katika hospitali ya Rufaa ya Kajiado