Wizara ya Afya yaandaa mkutano kujadili mikakati zaidi

  • | Citizen TV
    368 views

    Wizara ya afya imeandaa mkutano wa viongozi wakuu serikalini wakiwemo magavana na wafadhili kujadili mikakati ya kukabiliana na virusi vya HIV