Wizara ya Afya yapokea dozi 10,700 za chanjo ya Mpox

  • | Citizen TV
    64 views

    Kenya inajiandaa kuanza kutoa chanjo ya MPOX baada ya kupokea dozi 10,700 za chanjo ya MPOX hasa kwa kaunti 13 zenye hatari kubwa ya maambukizi