Wizara ya afya yasema wanaotafuta matibabu nje ya nchi watashughulikiwa na SHA

  • | Citizen TV
    228 views

    Katibu wa wizara ya afya Mary Muthoni na mkurugenzi mkuu wa wizara hiyo dkt. patrick Amoth wamesema kuwa changamoto ambazo zilikabili familia za msichana aliyehitaji matibabu ya upasuaji wa moyo na kutakiwa kulipa shilingi milioni moja unusu ili kugharamia matibabu yake na ile ya mtoto mwingine mwenye ugonjwa wa moyo ambaye alikosa huduma za SHA zimetatuliwa.