Wizara ya maji yazindua mpango wa kimkakati wa 2023-27

  • | Citizen TV
    254 views

    Waziri wa maji mhandisi Eric Mugaa ameelea matumaini ya kuchimba maji katika maeneo kame kama vile turkana na Marsabit ili kupunguza uhaba wa bidhaa hiyo muhimu.