"Yalikuwa mauaji yanayokubalika, polisi waliidhinisha."

  • | BBC Swahili
    549 views
    Louis van Schoor ni muuaji wa Afrika Kusini aliyepatikana na hatia, ambaye aliua watu weusi nchini Afrika Kusini Ilikuwa ni wakati wa ubaguzi wa rangi, ambapo mfumo huo uliweka uongozi ambao ulitoa upendeleo kwa Waafrika Kusini weupe. Kesi yake ilikuwa kubwa zaidi katika historia ya Afrika Kusini na aliishia kutumikia kifungo cha miaka 12 jela. Anasema anajivunia vitendo vyake vya zamani. "Sijisikii kuwa na hatia yoyote," alisema. "Sina majuto ndani." #bbcswahili #africaeye #southafrica Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw