Yuko Wapi Benard Kavuli? Familia Ya Bernard Yalilia Haki

  • | TV 47
    160 views

    Yuko Wapi Benard Kavuli? Familia Ya Bernard Yalilia Haki

    Familia moja eneo la Kalamba Muyo, Mwingi Kaskazini inalilia serikali kumsaidia kupata mwanao aliyetoweka tarehe 22 Desemba katika mji wa Ngong.

    Bernard Kavuli, ambaye ni mwanafunzi wa tasnia ya uanahabri alitoweka baada ya kuweka maandishi tata katika mtandao wa X yaliyokusudia kuihujumu serikali.

    #TV47Wikendi #Christmas2024

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __