Zahanati kufunguliwa mjini Embu

  • | KBC Video
    2 views

    Serikali ya kaunti ya Embu imedhamiria kufungua zahanati katika hospitali yaEmbu Level Five ili kukomesha msongamano wa wagonjwa wanaotafuta huduma za kutibiwa na kurudi nyumbani. Kulingana na kanuni za halmashauri mpya ya Afya ya Jamii, wagonjwa lazima kwanza wahudumiwe kwenye zahanati kabla ya kuidhinishwa kutafuta huduma kwenye hospitali za hadhi ya juu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive