Zahanati ya kibish ;Wakazi hatimaye watabasamu

  • | KBC Video
    2 views

    Wakaazi wa Kibish katika eneo bunge la Turkana kaskazini wana kila sababu ya kutabasamu baada ya serikali ya kaunti hiyo kujenga zahanati katika eneo hilo, kwa mujibu wa wakaazi hao zahanati hiyo imewapunguzia mzigo wa kusafiri hadi Lodwar kutafuta huduma za matibabu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive