Zaidi ya familia 300 zaathirika na mafuriko kufuatia mvua kubwa inayoendelea

  • | NTV Video
    132 views

    Zaidi ya familia 300 zimeathirika na mafuriko katika kijiji cha Mbitika, eneo la Mwea Magharibi, kaunti ya Kirinyaga kufuatia mvua kubwa inayoendelea kunyesha katika eneo hilo.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya