Zaidi ya familia 300 zimeachwa bila makao Mbitika, Kirinyaga, kutokana na mafuriko

  • | Citizen TV
    640 views

    Zaidi ya familia 300 zimewachwa bila makao huku wakaazi wa kijiji cha Mbitika kaunti ya Kirinyaga wakikadiria hasara ya thamani isiyojulikana, baada ya mafuriko kukumba kijiji hicho usiku wa kuamkia leo. Mazao waliyovuna wakaazi yalisombwa na maji huku barabara kijijini humo pia zikifurika. Na kama anavyoarifu Laura Otieno waathiriwa sasa wanaitaka serikali ya kaunti ya Kirinyaga kuingilia kati ili kuzuia hasara zaidi.