Zaidi ya miche 400 ya miti imesambaziwa kwa jamii za wafugaji eneo la Maungu

  • | Citizen TV
    101 views

    zaidi ya miche 400 za miti imesambazwa kwa jamii za wafugaji eneo la Maungu,Voi kaunti ya Taita Taveta katika mpango mpya wa jaza miti mtaani unaolenga upanzi wa zaidi ya miti elfu 100,000 katika kipindi cha mwaka mmoja