Zaidi ya waendeshaji 2000 watajumuika kugombania Sh3m katika makala ya Jubilee Live Free Race

  • | NTV Video
    8 views

    Zaidi ya waendeshaji baiskeli elfu mbili watajumuika mjini Nairobi na kugombania kitita cha shilingi milioni 3 wakati makala ya nne ya Jubilee Live Free Race kitaandaliwa tarehe 29 Septemba.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya