Zaidi ya wakaazi 1,000 wamehama kijiji cha Kamnwa, Nyakach

  • | Citizen TV
    1,450 views

    Zaidi ya watu elfu moja kutoka kijiji cha Kamnwa eneo bunge la Nyakach kaunti ya Kisumu wamehama makao yao, baada ya maji kutoka Ziwa Viktoria kugubika kijiji hicho. Viwango vya maji ziwani viliongezeka baada ya msimu wa mvua na kuziba majumba na mashamba ya wakazi.