Zaidi ya wakaazi 300 kutoka Samburu wakimbia makwao Kwa hofu ya kuvamiwa na wezi wa mifugo

  • | Citizen TV
    470 views

    Zaidi ya Wakazi mia tatu wamekimbia kwao katika kijiji cha Nolkera Samburu magharibi Kwa hofu ya kuvamiwa na wezi wa mifugo. Wakazi hao wamelazimika kutafuta hifadhi katika maeneo mengine kaunti hiyo salama. na kama anavyoarifu bonface barasa, hali hiyo imewafanya watoto kushindwa kwenda shuleni huku familia hizo zikiteseka.