Zaidi ya wakimbizi 3,000 wa Ethiopia wapata makazi ya muda Kiambu, wadai kukimbia kutokana ukabila

  • | NTV Video
    1,123 views

    Zaidi ya wakimbizi 3,000 wa Ethiopia, ambao awali walikimbia mapigano ya kikabila katika nchi yao na kutafuta hifadhi Dadaab kabla ya kuhamia Kambi ya Wakimbizi ya Kakuma, sasa wamepata makazi ya muda katika Kaunti ya Kiambu, zaidi ya kilomita 800 kutoka Kakuma. Wakimbizi hao wanadaiwa kukimbia kambi kutokana na vita vya kikabila. Mwanahabari Fridah Okachi na taarifa hii.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya