Zaidi ya wanagofu 290 wajiunga katika shindano la gofu la benki ya MasterCard katika Royal Golf Club

  • | NTV Video
    14 views

    Zaidi ya wanagofu 290 walijiunga leo kwenye shindano la gofu la benki lililodhaminiwa na MasterCard katika klabu ya royal golf club nairobi. Shindano hilo ni baadhi ya michezo 44 ya mashindano ya benki nchini yaliyoanza mwezi wa Septemba. Mwanaspoti wetu Elijah Ouko atueleza zaidi.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya