Zaidi ya Watu 10,000 waathirika na mafuriko Tana River

  • | Citizen TV
    270 views

    Zaidi ya Watu 10,000 katika kaunti ya Tana River wameathirika na mafuriko yaliyoshuhudiwa hapa nchini, huku vijiji vingi vikisalia mahame. Hali hii imesababisha wakaazi hao kukimbilia maeneo ya juu, na wengi wao sasa wanaishi katika kambi kama wakimbizi wa ndani