Zaidi ya watu 1.2M wamejisajili kwa mpango wa SHA

  • | Citizen TV
    126 views

    Zaidi ya wakenya milioni 1.2 wamejisajili katika mpango mpya wa huduma za afya SHA utakaoanza kutekelezwa tarehe mosi mwezi ujao. Waziri wa Afya Deborah Barasa amewataka wakenya waendelee kujisajili wasije wakafungiwa nje katika mpango huo wa afya bora ya bei nafuu kwa wote.