Zaidi ya watu 300 wadai kulaghaiwa wakitaka kazi

  • | Citizen TV
    4,906 views

    Zaidi ya watu 300 wanadai kulaghaiwa mamilioni ya pesa na kampuni moja ya kibinafsi iliyowaahidi kazi katika mataifa ya ng'ambo. Mamia ya watu hawa waliahidiwa kupewa kazi katika mataifa ya kiarabu na hata nchini Somalia ili sasa ajenti aliyehusika ameenda mafichoni.