‘’Ulitaka kusababisha vita vya tatu vya Dunia’’
Rais wa Marekani Donald Trump na Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky walibadilishana maneno wakati wa mkutano wao uliojaa jazba baina ya viongozi hao katika Ikulu ya White House siku ya Ijumaa.
-
Trump alimwambia mwenzake wa Ukraine kuwa "awe na shukrani" na akamshutumu kwa "kutaka kusababisha vita vya tatu vya Dunia".
-
Hata hivyo. Mkutano huo uliishia kati huku Zelensky akiondoka na Trump akimwambia arudi akiwa tayari kujadiliana kuhusu amani
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
2 Apr 2025
- A video of Samuel da Silva dos Santos holding the baby girl found in a box on a street strewn with trash went viral on social media, sparking a mixture of joy and indignation in the Brazilian seaside city.
2 Apr 2025
- Health officials and police have scrambled to explain the mix-up, which has appalled political leaders and stoked outrage across the country.