Ziara ya Rais Mlima Kenya

  • | Citizen TV
    3,325 views

    Ziara ya Rais William Ruto katika eneo la Mlima Kenya imeingia siku ya 4 huku Rais akikagua miradi mbali mbali katika kaunti ya Tharaka Nithi. Rais Ruto amezindua jengo jipya katika chuo kikuu cha Tharaka Nithi huku akitarajiwa kukagua miradi mingine ikiwemo soko na nyumba za serikali katika kaunti hiyo.