Ziara Ya Ruto Magharibi Ya Nchi Yaendelea Akiwashtumu Wakosoaji Wake

  • | TV 47
    90 views

    Ziara Ya Ruto Magharibi Ya Nchi Yaendelea Akiwashtumu Wakosoaji Wake

    Rais William Ruto ameendelea na ziara yake ya eneo la magharibi ya nchi, akiwa ameandamana na viongozi wengine. Rais Ruto amekuwa mwepesi kupuuzilia mbali wakosoaji wake ambao waliwahi kuhudumu katika serikali yake.

    #UpeoWaTV47

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __