Skip to main content
Skip to main content

Kampeni ya uhamasisho dhidi ya udhibiti wa Polio yazinduliwa Migori

  • | KBC Video
    22 views
    Duration: 1:37
    Kilabu cha Rotary eneo la Magharibi kiliandaa kampeni ya uhamasisho kuhusu ugonjwa wa kupooza kwa lengo la kuwaelimisha wakazi wa kaunti ya Migori kuhusu umuhimu wa utoaji chanjo kwa watoto kufuatia kuriporiwa kwa kuzuka kwa ugnjwa huo kwenye nchi jirani ya Tanzania. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive