Skip to main content
Skip to main content

Waandalizi wa tuzo za Tukuza wapokea ufadhili kutoka Butah Gardens

  • | KBC Video
    48 views
    Duration: 1:04
    Mkurugenzi Mkuu wa kamati andalizi ya tuzo za mwaka huu za Tukuza, Boniface Milimo amesema wameafikiana mkataba mpya na Bustani ya Butah. Kupitia ushirikiano huo, washindi watano wa tuzo hizo watagharamiwa likizo ya siku tatu huku msimu wa sikukuu ukinukia. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive