Vyuo vikuu vya umma vimegeukia teknolojia kukabiliana na ongezeko la idadi ya vijana wasio na ajira humu nchini. Chuo kikuu cha Jomo Kenyatta cha teknolojia na kilimo kiliandaa shindano la udukuzi lililowaleta pamoja wanafunzi kutoka taasisi 28 za elimu waliotakiwa kubuni suluhu kwa changamoto zinazokumba sekta za biashara, elimu, kilimo, afya na uongozi.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive