- 31 viewsDuration: 3:21Katika Makala ya ifahamu China tunaangazia jinsi China inavyozidi kuimarisha maendeleo katika kubuni nafasi za ajira na kuimarisha hifadhi ya jamii kupitia utekelezaji wa Mpango wa 14 wa Miaka Mitano kati ya mwaka 2021 na 2025, ikilenga kuhakikisha ustawi wa wananchi na maendeleo endelevu ya kijamii. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive