- 291 viewsDuration: 1:59Wizara ya usalama wa kitaifa, sasa imesema kuwa imedhibiti kikamilifu uvamizi wa mtandao uliotatiza kwa muda tovuti kadhaa za serikali. Katika taarifa yake katibu katika wizara hiyo Dr. Raymond Omollo amesema tovuti hizo zimerejeshwa na kwamba wizara hiyo inaimarisha ulinzi wa mitandao ili kuhakikisha vitisho vya mitandaoni vinagunduliwa mapema na kudhibitiwa. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive