- 149 viewsDuration: 2:56MIZANI YA HAKI Mwenyekiti wa bodi ya halmashauri ya kukabiliana na bidhaa ghushi, Josphat Gichunge Kabeabea ameachiliwa kwa dhamana na mahakama ya milimani inayoshughulikia kesi za ufisadi. Kabeabea anatuhumiwa kwa madai ya kupokea hongo ya zaidi ya shilingi milioni 6 ili kushawishi kutokamatwa kwa mfanyabiashara mmoja kuhusiana na madai ya uuzaji vipuri ghushi vya magari. Kabeabea aliachiliwa kwa bondi ya shilingi milioni mbili au dhamana ya shilingi milioni moja pesa taslimu. Taarifa kamili ni kwenye makala ya mizani ya haki. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive