Mpango wa malipo ya uzeeni wa Wafanyakazi wa shirika la KBC unapinga uamuzi wa Jaji Ocharo Kebira uliomwelekeza afisa anayekadiria ada za mahakama kutumia kiasi kisicho sahihi cha shilingi bilioni 18 ambacho wakili Morara Omoke anadai alirejeshea hazina hiyo. Kupitia mwenyekiti wake, Martin King’asia, mpango huo uliomba ofisi ya Naibu Msajili Daniel Mbeja—ambaye ndiye afisa anayekadiria ada hizo kusikiliza hoja zao kabla ya kufanya uamuzi kuhusu swala hilo.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive