Tume ya maadili na kupambana na ufisadi-EACC, imesema kuwa inahitaji mamlaka ya kushtaki katika juhudi za kukabiliana na ufisadi. Tume hiyo imeongeza kusema kuwa, afisi ya mkurugenzi wa mashataka ya umma inapaswa kushaurina nayo kabla ya kesi zinazohusiana na ufisadi kuondolewa mahakamani. Na jinsi mwanahabari wetu Giverson Maina anavyotujuza, wakati wa uzinduzi wa ripoti ya mwaka ya tume hiyo, mwenyekiti wa EACC David Oginde alilalamikia suala la vitisho, unyanyasaji na kuingiliwa kwa mashahidi, akivitaja kuwa vikwazo vikubwa katika mapambano dhidi ya ufisadi.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive