Mwanamume anayedaiwa kuwatapeli Wakenya kwa ahadi za kuwapatia ajira katika Huduma ya taifa ya Polisi ameachiliwa kwa thamana ya pesa taslimu. James Chesimani Masengeli, almaarufu Timothy Khatete Barasa, alifika katika Mahakama ya Milimani akikabiliwa na mashtaka ya kujipatia zaidi ya shilingi milioni mbili na nusu kwa kudanganya watu saba kuwa angewasaidia kupata ajira. Taarifa ya kina ni katika kipengele chetu cha mizani ya haki.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive