Baadhi ya wanawake katika kaunti ya Kajiado, wametoa wito kwa serikali kuu na ile ya kaunti kutoa mgao zaidi wa ufadhili katika juhudi za kuwawezesha wanawake wanabiashara.Wakizungumza na wanhabari huko Oloitoktok, wanawake hao walio chini ya kundi la Friends of Friends Self Help, na kundi la Jirani Mwema, walielezea changamoto wanazokabiliana katika biashara ya ufugaji, ambayo inawaendeleza kimaisha.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive