Skip to main content
Skip to main content

Sheila Cheptoo kutoka Bomet ashinda Milioni-1 katika droo ya Shangwe@25 ya Safaricom

  • | KBC Video
    208 views
    Duration: 1:59
    Mfugaji wa kuku mwenye umri wa miaka 25, Sheila Cheptoo kutoka kijiji cha Masare, Kaunti ya Bomet, ameshinda shilingi milioni moja kupitia droo inayoendelea ya Shangwe@25 inayodhaminiwa na kampuni ya Safaricom. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive