Skip to main content
Skip to main content

Wanawake wafugaji wakumbatia uzalishaji wa mazao ili kupunguza utapiamlo kwa watoto Isiolo

  • | KBC Video
    53 views
    Duration: 1:33
    Wanawake wafugaji katika Kijiji cha Lengwenyi, Wadi ya Oldonyiro katika Kaunti ya Isiolo, wanakumbatia uzalishaji wa mazao katika hatua ambayo inabadilisha maisha na kupunguza visa vya utapiamlo kwa watoto katika eneo hilo. Kupitia mpango wa kuhakikisha kuna chakula cha kutosha na shirika la Action Against Hunger kwa ushirikiano na Serikali ya Kaunti ya Isiolo, lengo ni kupunguza idadi ya watoto wenye utapiamlo kijijini humo kutoka 16 hadi mmoja pekee katika kipindi cha mwaka mmoja. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive